ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
ila pia wamezingua sana.... sijafurahishwa na aina yao ya uchezaji soka.Someone na vijana wake wahuni sana yani jana wamemfanya Salah aonekane kama Mrisho Ngasa
Mojawapo ya mashine za kushangaza aliyoweza kutengeneza binadamu....
Livapuu wachovu tu kumbe. Hata shuti moja? Binti wa Mungu na Mkurugenzi Mkuu wa Utalii na Vito vya Thamani kimyaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]Liverpool ilishindwa kupiga hata shuti moja lililolenga goli dhidi ya ukuta bora wa Atletico. Hii ni mara ya pili kwa Liverpool kushindwa kumjaribu kipa wa timu pinzani tangu Klopp alipoichukua timu hiyo 2015.
Kipi hakijakuvutia bro? Tico tico sindio wanasifika kwa soccer la kudefence hasa wakikutana na timu kubwa ndio kama walichofanya usiku wa janaila pia wamezingua sana.... sijafurahishwa na aina yao ya uchezaji soka.
ni muda muafaka kwa atletico madrid kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi.
simeone pumzi yake imekata.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tunajua bro 😂😂😂😂
Watarudi awamu ya pili. Mechi ina part one na twoLivapuu wachovu tu kumbe. Hata shuti moja? Binti wa Mungu na Mkurugenzi Mkuu wa Utalii na Vito vya Thamani kimyaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
ukiondoa huo uwezo wa kujilinda kuna chengine walichonacho kitakachopelekea maadui wajiulize mara mbili juu ya mikakati yao?Kipi hakijakuvutia bro? Tico tico sindio wanasifika kwa soccer la kudefence hasa wakikutana na timu kubwa ndio kama walichofanya usiku wa jana
Ndiyo. Hata kama ni kweli kuna kununuliwa, kuna tatizo mahali katika CHADEMA. Labda ni ugawanaji wa hayo mabilioni ya ruzuku, labda ni mfumo tenge wa madaraka na maamuzi, labda ishu za ukanda, labda....Ingawa kuna madai ya ununuzi kwa baadhi yao, lakini Chadema iangalie kwa kina mwenendo wake.
Kuna mambo hayapo sawa ndani chama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa unbeaten Jana mmekwama wapi? Hakuna short on target kabsa
Nasemaga mimi kila siku kuwa dunia hii ni ya wababe na kila mbabe ana mbabe wake...Walikuwa wamejisahau naona...Wazee wa unbeaten Jana mmekwama wapi? Hakuna short on target kabsa