ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ni kweli kabsa,ngoja tusubiri mchezo wa marudioNasemaga mimi kila siku kuwa dunia hii ni ya wababe na kila mbabe ana mbabe wake...Walikuwa wamejisahau naona...
View attachment 1362793
Hapana ye ana wivu tu, usimuachie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Kuna mtu anaweza jenga nyumba bila chooNyumba ni choo asikuambie mtu..
Kwema bro? Hope uzima utakuwepo pande hizo, tumshukuru Mungu kwa kutuweka hai hadi dakika hii.
Mungu ni mwema siku zote!!