moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Msichana makini,kioo cha jamii
Aisee huku dar wapo wengi wanatuuzia zabibu wamemuoneaMbaroni kwa kutumia mifuko iliyopigwa marufukuView attachment 1363155
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Hakika bro hapo robo uhakikaNa kwa matokeo haya Atletico tutasonga mbele si ndio bro?
Aisee huku dar wapo wengi wanatuuzia zabibu wamemuonea
HahahahaLeo Umekuwa Atletico bro
Atletico kwenye hatua kama hizi huwa hatuna mambo mengi, ushindi wetu huwa kama huu wa jana..recall alivyomtoa barcelona kipind kile, bayern ya pep ikafata [emoji2][emoji2]Hahah! Hakika bro hapo robo uhakika
πππππ mecheka....
πππ
βββ
Hahah!!!! Lazima atageAtletico kwenye hatua kama hizi huwa hatuna mambo mengi, ushindi wetu huwa kama huu wa jana..recall alivyomtoa barcelona kipind kile, bayern ya pep ikafata [emoji2][emoji2]
Siku za jogoo zinahesabika[emoji2][emoji2]
Stela hajazimia kweli?Simuoni!!Bro mi mzima, nikweli jana tuliumizwa jijini Madrid, sina la kusema bro[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app