Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Wakongwe tumebaki wachache!Kwakweli Wanafanana sana kwa sura.
Na ilikuwa kombinesheni ya hatari kwenye timu yao ya taifa, hasa akiwepo na Ronald Koeman na Marco van Basten, Aron Winter, Dennis Bergkamp.
Ilikuwa siyo mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]