moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Watu wanamshangaa..Machinga wa kizungu akiuza boflo mitaa ya kariakoo View attachment 1364147
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wanasemaga kuna wakati mchepuko unasumbua hadi unatamani kumuomba ushauri mkeo.Pumbafu sanaView attachment 1363444
Aisee sanaa nzuri
Muhimu kubaki njia kuuHahaha wanasemaga kuna wakati mchepuko unasumbua hadi unatamani kumuomba ushauri mkeo.
Mambo yanakwenda kasi sana wallahi
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, Lucia sio mtu mzuriBaharia anakula za uso lakini hajakata tamaa [emoji16][emoji16]
View attachment 1364154
Afadhali kuna matumaini
Utashangaa pamoja na matusi yote haya si ajabu aliishia kuliwa tu. Nafuatilia nione walikofikishana siku hiyo [emoji16][emoji16][emoji1545]