moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji16][emoji16][emoji16] hawa mbona wanaonekana ni wapenzi. Inaonekana bi dada alitikisa kiberiti ishu ya kuwa na mimba baharia akaruka ingawa baada ya kuanza kuoga mitusi anadai alikuwa anataniaUtashangaa pamoja na matusi yote haya si ajabu aliishia kuliwa tu. Nafuatilia nione walikofikishana siku hiyo [emoji16][emoji16][emoji1545]
Baharia hataki watoto...Lucia kamaindi balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hawa mbona wanaonekana ni wapenzi. Inaonekana bi dada alitikisa kiberiti ishu ya kuwa na mimba baharia akaruka ingawa baada ya kuanza kuoga mitusi anadai alikuwa anatania
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] magoti ya mende, matiti ya siafu, naona baharia uvumilivu unaanza kumuishiaBaharia hataki watoto...Lucia kamaindi balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
😀Si tunasubiri ile video tu ukinyandua ule mzigo uliosimama kwenye ngazi kama ulivyopromis... tunaashum unafanyia editingi wala haujasahau
Kitovu cha mosquito dah[emoji23][emoji23] magoti ya mende, matiti ya siafu, naona baharia uvumilivu unaanza kumuishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kuna risachi anafanyaMachinga wa kizungu akiuza boflo mitaa ya kariakoo View attachment 1364147
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha mkoroshoKijiti
Huyu tumeshamchoka bro, toka kapigwa chini hana jipya tena,anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wananchi kuwa bado yupo vizuri..
Unakijua kijiti mpendwa?Cha mkorosho