danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
Bob lashley
Bob lashley
Toa likes upate likesHumu kumeanza kuwa na likes za uchoyo
babe S karibuHello, nimerudi tena!?
Mkuu unauliza swali moja tu linatosha
Poa, Tantee...Mambo kisura, umependeza!
Angalia usidondokeHuu uzi umenilewesha
Bageshi. Ulimhola? Shemeji yangu Uniq hajambo? Mwambie anitafute tuanze mipango ya mahari. I hope ng'ombe anazo!Asante...
MhhaahahaMpenzi mtazamaji my foot. Hapo si ajabu kuna totoz karibu 7 unachombeza kwa mpigo!
Wakajaribu bahati zao kwingine. Ni nani aliyewaambia kuwa my babe ndo pekee ana bahati?