Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utashangaa pamoja na matusi yote haya si ajabu aliishia kuliwa tu. Nafuatilia nione walikofikishana siku hiyo [emoji16][emoji16][emoji1545]
[emoji16][emoji16][emoji16] hawa mbona wanaonekana ni wapenzi. Inaonekana bi dada alitikisa kiberiti ishu ya kuwa na mimba baharia akaruka ingawa baada ya kuanza kuoga mitusi anadai alikuwa anatania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia hataki watoto...Lucia kamaindi balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
ningendako, huyu Mnyiramba mwenzio vipi? [emoji16]
View attachment 1364151
Huyu tumeshamchoka bro, toka kapigwa chini hana jipya tena,anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wananchi kuwa bado yupo vizuri..

Nilianza kumdharau baada ya kuanza kupost watu anaowapa msaada..

Halafu Wanyiramba hatuna majina ya namna hyo, sijui Mwigulu Nchemba, hili jina anajua alipolitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…