Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a24b465e-faf1-4956-8429-8c7ab3964875.gif
 
Tambua kuwa Unaweza ukafanya maisha yako yakawa na furaha, ni chaguo lako tu. Ni tabia yako ndiyo inaweza kufanya maisha yako yakawa na furaha au huzuni. Tunakutana na hali mbalimbali kila siku, na baadhi ya hizo hazina mchango wa kuleta furaha. Hata hivyo, tunaweza kuchagua kuendelea kufikiria matukio yanayotukosesha furaha, na pia tunaweza kuchagua kukataa kuyafikiria, na badala yake, kufikiria juu ya mambo ya furaha na amani.
shukrani.
 
Ulipumzika umeanza tena furaha yako ni nini mpendwa kutikisika makalio(sorry)

Nilipumzika? Nimeanza tena? Mimi huyu?

Mimi niko huru kabisa kabisa. Naweka cho chote ninachotaka (ali mradi hakivunji sheria. Na kama kinavunja sheria unawaambia mods wanakitoa + ban + iginoa listi). Hakuna anayenifahamu hapa na sina heshima ya kulinda. Nyinyi mnaoogopa kujivunjia heshima ndiyo inabidi muwe waangalifu ...na utakatifu wenu...

Pole kama umekwazika [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom