moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aah Mimi kigezo cha kwanza awe bonge la mrembo yani, tabia hata mimi ninayo bana.
Unyama tu hapa hakuna mapenzi. Haya sasa kamng'oa meno karibu yote then what?Mapenzi[emoji91][emoji91]View attachment 1364436
Ulipumzika umeanza tena furaha yako ni nini mpendwa kutikisika makalio(sorry)
shukrani.Tambua kuwa Unaweza ukafanya maisha yako yakawa na furaha, ni chaguo lako tu. Ni tabia yako ndiyo inaweza kufanya maisha yako yakawa na furaha au huzuni. Tunakutana na hali mbalimbali kila siku, na baadhi ya hizo hazina mchango wa kuleta furaha. Hata hivyo, tunaweza kuchagua kuendelea kufikiria matukio yanayotukosesha furaha, na pia tunaweza kuchagua kukataa kuyafikiria, na badala yake, kufikiria juu ya mambo ya furaha na amani.
Ulipumzika umeanza tena furaha yako ni nini mpendwa kutikisika makalio(sorry)