danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
Show me
Mwache anywe maji ya moto kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui Kichwa anajisikiaje akiona hivi dah!
Hahahaha.....afadhali umegundua...Ila wanaume tuko waongo aisee. Hii nini sasa hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Myoyambendi leo sijui yuko wapi leo. Ndiyo kazi yake hii kukumbushia kumbushia!Jamani m post na ku like pia
Pqmbana kakaHii speed siiwez
Yes...wifey material.Material...
Hahaha...kumbe upo! Mzima weye!??Kichwa kichafu nisingependa kusikia ukimzungumzia!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Eeh.. Unalima mazao gani? Niambie mkuuTupo mkuu
Hiyo nguo imekutoa vizuri hadi bas, yan ka malkiaAsanteeee.....(Dah sifa hizi....[emoji12] [emoji12]
Kuwa makini wanaanzaga hivyo hivyo[emoji125] [emoji125]Asanteeee.....(Dah sifa hizi....[emoji12] [emoji12]
Jibaba dowezi tayari lisharusha ndoana. Unique naye sijui yuko wapi mh!Halafu una macho mazuriii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... ka insist ndo maana babe sirudii tena...Ati nini? Watoto wa shule hawa watakuletea kadi yenye stripper powder tu hakuna lolote. Na kwa nini una-entertain wazo la kuletewa zawadi na mwanaume mwingine wakati mimi nipo?
Imooooooo
Eeh.. Unalima mazao gani? Niambie mkuuTupo mkuu
Eeh.. Unalima mazao gani? Niambie mkuuTupo mkuu
Uchangamkie ile fursa mana kaparo na yeye hayuko nyuma[emoji23] [emoji23]Akirudi herufi kubwa tu nitaziona
Mbona unaguna mkuu? Si Baby S wako huyo ama?