moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hivi yule cocochanel yupo?
Hapana mpendwa sikua na hilo wazo kabisa sema tu nilikumbuka ubuyu wake alitupa hapa na kaka yako Moud aliufaidi kweli...
Kuna sehemu ndio siwezi kukata tamaa kama kwa watu waliowahi kuona Vinyonga wakubwa na kufuga Kasuku
Mpendwa, mimi na utundu gani tena[emoji2]Nimecheka hii comment umeanza kuiga utundu wa ningendako [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2]mzee na wewe unanimaliza hivi hivi kabsaMimi nimesema ukweli mpendwa huyo Ninge muache na utundu wake tu [emoji16]