Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Eibar wametoa ya Moyoni 😃. Hahah safi sana
Ukanywee biaLikes mbili hapo "chap".
Hatari sana 🔝Eibar wametoa ya Moyoni 😃. Hahah safi sana
Hahahaha aisee
Kwako mzee mwenzangu DavetHadi wewe ninge kweli kabisa???
Wanaume wa Tanzania mnakubali kushindwa jamani..mnataka tuwapende watu wa ng'ambo huko!???
Hembu fanyeni jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah angalia kwenye avatar hapoMuache moud anaringa na picha zake.
Wewe weka zako mwaya[emoji3526] Kaka yangu mzuri weye[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mpendwa sio mimi
Mpendwa si unajua dini yetu inaruhusu, nataka niongeze jiko