Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanza huyo jamaa wakati anapewa taarifa kuwa mkataba wake umesitishwa alitoa nyodo za kila aina kuhusu Yanga.
Alidai anafundisha Yanga bila mshahara, kwamba anatoa hela zake kuwapa posho wachezaji nk.
Leo bado anaonekana mitaani akitafuta kibarua[emoji23][emoji23]
Ni sawa na mtu kaachwa halafu anatafuta relationship ya fasta ili akukomoe kumbe wewe huna time nae. Inaonyesha jamaa hajamove on

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1582289344849.jpeg
 
Back
Top Bottom