Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Wakaka wa aina hii Uzuri nje tu ndani uozo mtupu 😎Kwa kweli...Ila huyu ndio mzuri..
Nikizaa naye nachoropoa katoto kazuri[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakaka wa aina hii Uzuri nje tu ndani uozo mtupu 😎Kwa kweli...Ila huyu ndio mzuri..
Nikizaa naye nachoropoa katoto kazuri[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii promo baki nayo hivi hivi kuna watu inawafaa sana wakiikuta hapa unaweza kuipiga mnada 😃Kabisaaa maana nimepiga bonge la promo 😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja anilipe kwanza ndio nimtaje maana
Jamani[emoji24]Kweli Anne unapitwa sana jamani, usiwe unapotea sana hapa ndani..
Mimi nimeleft kwenye hayo mashindani wacha tuwasubiri kina Bradha
Si wote mammyWakaka wa aina hii Uzuri nje tu ndani uozo mtupu [emoji41]
Inawezekana pia mpendwaSi wote mammy
Kuna watu Ni wabaya usoni na ndani Ni uozo tu.
Ni tabia tu ya mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na mtu kaachwa halafu anatafuta relationship ya fasta ili akukomoe kumbe wewe huna time nae. Inaonyesha jamaa hajamove onYanga, maana walishamtema.
Ila huyu mkongo anapenda sana kuishi Tanzania.
Anataka abaki baki hapa huenda akapata bint wa kizaramo amsaidie kupata uraia TZ
Hahahah broEmbu nipendelee mwenyewe ila tupange kwanza muda mana hatukawii kupishana [emoji2]
Picha hii ndio nimemuona vizuri mbona wa kawaida aisee
Aisee hadi kufikia kupewa jina la utani kabsa[emoji2][emoji119]
Mpendwa huyu Mtoto Ni mzuri jamani..sijui wengine wanamuonaje ila Mimi naona mzuri Sana pengine kuliko wanaume wote dunianiPicha hii ndio nimemuona vizuri mbona wa kawaida aisee
Afadhali na wewe umeona
😃😃Hahahah bro
Hahah mhusika kaona mwendokasi limejaa, katuacha kwenye mataaHuu mwendokasi mbona kama utaniacha hivi hivii, au ninge atanihifadhiaa copy![emoji4]
Aisee kupenda upofu naomba nikuunganishe nae kama hutajali😀😀😀😀Mpendwa huyu Mtoto Ni mzuri jamani..sijui wengine wanamuonaje ila Mimi naona mzuri Sana pengine kuliko wanaume wote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah acha apambane tu,huo ujanja tumeshaushtukiaKwani ile siku Moud kaweka picha yake hapa kisha akaitoa haukuwepo? Komaa nae mpaka kieleweke ....
Hahah! Hii mbinu unayotumia kupata picha za kina Ninge [emoji16][emoji16]
AiseeKwa kweli...Ila huyu ndio mzuri..
Nikizaa naye nachoropoa katoto kazuri[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa hilo jibu " i'll let you k(NO)w[emoji12]I see me [emoji23][emoji23]View attachment 1366590View attachment 1366592
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha asee, mzee mwenzako naona amewahi siti ya mbeleHahah mhusika kaona mwendokasi limejaa, katuacha kwenye mataa