Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji7]
1582202133535.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni sifa yake ya kihistoria, nijuavyo warembo wengi waliopitia mashindano ya urembo hawana siri.
Wengi wao wanapenda kufanyia mambo yao hadharani.
Hata hivyo hiyo haiwezi kuwa sababu ya kunyimwa haki zake.
Wamachame ni lazima walijue hilo
Vita nzuri ni ile ya kupambana kimya kimya kwa nini asishirikishe wanasheria kwa hili ameamua kubweka kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom