Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji2][emoji2][emoji2]
Weekend njema na kwako pia bro.😀😀😀
Haya bro.Una upendeleo lakini......
Huku ni kwema kabisa kamanda.Wkend njema.
Aisee 😀😀😀
Hope mwendokasi halijanipita carbaNatamani kuendesha mwendokasi leo au mnasemaje wadau?
Davet
ningendako
Bradha
The Happiness
Kujeni m vote basi
Huyu dada nilikuwa namuona yuko vizuri kichwani kumbe bure kabisa maisha yake anataka kuyaamishia kwenye ulimwengu wa udaku.
Ni shangazi ake na baba mtoto
😀😀Hata kama ni hivyo, wewe ndiye unayejua kuwa unapewa mifueza au unaishia kulipiwa bando la buku
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita nzuri ni ile ya kupambana kimya kimya kwa nini asishirikishe wanasheria kwa hili ameamua kubweka kwenye mitandao.
Huyu mbona kama mpendwa naniii......
Kama nani mpendwa?[emoji23]Huyu mbona kama mpendwa naniii......
[emoji23][emoji23][emoji23] wa kwenu huyu?
Hapana[emoji23][emoji23][emoji23] wa kwenu huyu?