Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dah! Halafu hizo salamu ziwe zimetoka kwq Uniq. Sipati picha!Gud....sherehe imeendaje!? Nina salam zako...
Dah! Halafu hizo salamu ziwe zimetoka kwq Uniq. Sipati picha!Gud....sherehe imeendaje!? Nina salam zako...
Mpaka sasa ulikuwa hujakunywa chai baby?Thanks Baby. Ngoja nikanywe na chai sasa.
We unajionea Numbisa ngoja akuletee picha yangu niliyoachwa.Roho inakuuma eeh!?
Naona jamaa anakazana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sifa hizi? Ndoana isharushwa hiyo. Kama unamheshimu shemeji Uniq Run !!!
Bado nahitaji likes 300 tu...!!! kazeni buti..!!
Lrngo la uziJamani m post na ku like pia
Jakitoo,kunta kinte
Umesemaa???Vitu vingi vya humu sio serious tunafurahi tu...mawazo yangu tu haya
Carpa, unaona mijibaba midowezi? Ina maneno matamu balaa. Kama bebi wako siyo ngangari unakuta tayari keshaanza kulegea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu una midomo mizuriii minene, mashallah kwa denda midomo hiyo inakuaga mitamuu
Kuleni. Kwani mmekatazwa?Tumechoka kumeza mate