Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
WANASEMA soka ni mchezo unaochezwa kitimu.
Sawa, mastraika wamekuwa wakipewa sifa sana kutokana na kazi yao ya kutumbukiza mipira nyavuni, lakini kazi yao hiyo isingewezekana kama wasingekuwa na msaada wa wachezaji wengine 10 waliopo nyuma yao.