ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Messi anawaleta tu ndugu zake Barça.Mbali na Neymar, Messi pia anatamani kumuona straika wa Inter Milan, Lautaro Martinez akitua Barcelona mwishoni mwa msimu huu kwa sababu anaamini staa huyo atatoa ushirikiano mzuri kwa Luis Suarez ambaye amekosa msaada katika safu ya ushambuliaji ya Barcelona.