Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
😂😂😂😂 sijui ingekuaje tu, ila atamzoea taratibu taratibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpuuzi sana huyo dogo angempa na Jersey sijui angeongea nn.
Kuna ujumbe gani hapa binti mpole?
Ujumbe ni mke vs hawara.Kuna ujumbe gani hapa binti mpole?
Kajinga mxieew zake. Asione cole hapa hahahaa
Hahah! Nimeona binti mpoleUjumbe ni mke vs hawara.
Hao innocent kids wala hawana tatizo.
Heheh! Kwani CR7 akikuhug unaenda kufua?Kajinga mxieew zake. Asione cole hapa hahahaa
Nikiwaza haya mambo kuna muda huwa natamani kuingia uwanjani na Suspender ...... jamaa asingekua na tight sijui ingekuaje tu hapo
Na jamaa kaendelea kuing’ang’aniaNikiwaza haya mambo kuna muda huwa natamani kuingia uwanjani na Suspender ...... jamaa asingekua na tight sijui ingekuaje tu hapo
Nauza suspenderNikiwaza haya mambo kuna muda huwa natamani kuingia uwanjani na Suspender ...... jamaa asingekua na tight sijui ingekuaje tu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23]Heheh! Kwani CR7 akikuhug unaenda kufua?
Amina ni mzuri bhana
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndo zako eeh[emoji23]Mimi kabisaaa, [emoji23]