Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
All Americans
Fresh sana mzee, naona mfumo bado haujatuliaMambo ni gani Mkatalunya
Hongera kwa kuongeza siku za kuishi na kuendelea kumtukuza Mwenyezi Mungu duniani.
Mungu azidi kukubariki uzidi kutuonyesha picha za mandhari nzurinzuri ili tupunguze sitilesi
#Bethideizakaribunamshahara#
Hahaha hongera sana don kwa kupiganaSis. Na wewe ni last born ama?
Mimi kweli ni last born lakini siyo spoiled brat hata kidogo. Kokote nilikopita nimepita peke yangu na Mungu wangu tu; na nimepambana kweli kweli. Nina historia ngumu mno kiasi kwamba hawa watoto wa kishua hawa akina King hawa wangepitia japo robo ya niliyopitia wangekuwa wameshaRIP muda mrefu sana.
Mimi nilizaliwa nadhani kwa bahati mbaya. Kaka aliyenitangulia ananizidi miaka 8. Na ni wazi walikuwa hawajajiandaa. Kuna kipindi darasa la nne nilikuwa mtukutu sana nikaacha shule nikaondoka home na kwenda zangu mjini Misungwi huko kupiga mishe zangu. Imagine hakuna mtu aliyepoteza muda wake hata kuja kunitafuta. Karibia mwaka mzima !!!
Kilichoniokoa ni mwalimu mkuu wa shule (Mungu Amrehemu sana mama yule). Alikuwa anajua uwezo wangu darasani na alijitolea akaja akanitafuta na kunirudisha shule. Aliniingia kirafiki sana na nilimkubalia. Ili kunibana akanipa na cheo kikubwa pale shuleni. Alinichukulia kama vile mtoto wake. To cut the long story short, peke yangu ndiyo nilikuja kufaulu kwenda sekondari. Wakati ule ukifaulu kwenda sekondari wewe ni shujaa wa kijiji kizima. Mwendo peke peke huu huo ukanivusha mpaka nikapata scholarship nzuri sana kwenda kusoma kozi niipendayo sana kwenye chuo kikuu kimojawapo bora kabisa duniani...jeshi la mtu mmoja hili ng'wanawane...
Mbwembwe zangu za humu mtandaoni huniponza sana kwa sababu humu sina heshima hata kidogo. Mbali na kupenda misambwanda nina nini kingine mimi? Ila kiuhalisia niko kinyume chake...na leo hii miye ndiyo nguzo imara ya kuhakikisha kuwa familia yetu haianguki na inabakia katika upendo na wema. Last born ndiye kageuka mkombozi wa familia (siyo lazima kiuchumi) kimtazamo tu, kiutu na kisaikolojia. This last born is down to Earth. This last born is very ngangari. This last born knows life. This last born is blessed. This last born is NOT a spoiled brat [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji123][emoji123][emoji123]
Anne, inatosha sasaHembu fwatilia.
Mimi nilishindwa kumpata mapepa sababu ya jina.
Yaani Leo ndiyo najua Kama alishawahi kujiita miguu ya kuku.
Naumia Sana[emoji24][emoji24]
Lakini hakunijibu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la droo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fresh sana mzee, naona mfumo bado haujatulia
Last born shujaa.[emoji3526]Sis. Na wewe ni last born ama?