Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Mzima keki ulikula peke yako mpendwa hata karibu
Sawa shujaa Numbisa.Kuwa kama mie aiseeee nimepitia makubwaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
On serious note kila mtu ni shujaa kwenye anga zake. Create your own history as well as memories
😃😃 leo huwezi kuamini kitakachotokea...Pep atatandikwa vibaya hana Messi saiv ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hukumuona vile kazungukwa na Msitu wa walinzi wa5?KD hivi jana Messi alikuwepo dimbani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa, kila mtu akisema ashushe historia yake hapa basi tunao mashujaa wengi sanaKuwa kama mie aiseeee nimepitia makubwaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
On serious note kila mtu ni shujaa kwenye anga zake. Create your own history as well as memories
Visingizio mbona kule katalunya huwa anawatoka kirahisiKwani hukumuona vile kazungukwa na Msitu wa walinzi wa5?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😃😃 leo huwezi kuamini kitakachotokea...
#UsiacheKutazamaGame
Mpendwa nakusalimia naomba kukuuliza?😃😃 leo huwezi kuamini kitakachotokea...
#UsiacheKutazamaGame
Kabisa, kila mtu akisema ashushe historia yake hapa basi tunao mashujaa wengi sana