Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahaha,
Ushujaa mwingine ni shida,
Kuna jamaa hapa anadai yeye ni shujaa, ati kwakuwa kuna wakati home kwao walisafiri wote akabaki peke yake kwenye mjengo uliokuwa umejaa panya[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwingine anadai yeye ni shujaa kwakuwa alitembea kwa miguu toka Kariakoo mpaka Gongolamboto[emoji23][emoji23]
Nabaki nikiwaangalia mashujaa wangu wa mfano.
Kabisa, kila mtu akisema ashushe historia yake hapa basi tunao mashujaa wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…