moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hotuba yako ndefu sana.
Hata hivyo nashukuru, ila kusherehelea siku ya kuzaliwa siyo kufuru ingawa baadhi yetu wanaihusisha siku hiyo na imani za dini.
Mimi siku hii ni muhimu sana kwangu hasa kutokana na mapito kadhaa niliyopitia.
Kwakweli namshukuru Mungu
ALHAMDULILLAH.
Natamani nifunguke hapa kuhusu changamoto nyingi nilizopitia, lakini nadhani hapa siyo mahali sahihi nasema tena na tena Alhamdulillah.
Asante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo nashukuru, ila kusherehelea siku ya kuzaliwa siyo kufuru ingawa baadhi yetu wanaihusisha siku hiyo na imani za dini.
Mimi siku hii ni muhimu sana kwangu hasa kutokana na mapito kadhaa niliyopitia.
Kwakweli namshukuru Mungu
ALHAMDULILLAH.
Natamani nifunguke hapa kuhusu changamoto nyingi nilizopitia, lakini nadhani hapa siyo mahali sahihi nasema tena na tena Alhamdulillah.
Asante sana
nimeona taarifa humu ndani eti yule mzee anayeshabikia mikia FC, yule mzee anayeshabikia liverpool tokea mwaka 1990, yule mzee anayependa kuweka mapicha picha ya madini kama mwanaume wa barrick, yule mzee anayeshabikia lichama cha mapinduzi na chadomooo, bila ya kusahau kipenzi cha sembeeeee kwa sukari guru eti ametimiza miaka 45 kwa mujibu wa DAEMUSIN bin makinikiyya bin vipigo kwa mashangazi zenu binti dokta zainabu bin koroshow za mtwara...
nimesikia na leo pia anakata keki nyengine yenye mishumaa ndani yake
happy birthday brother, mnywaji urojo mwenzangu kwa amri ya ..................... watoto
- unaonaje nikakuletea gari la zima moto ili waje wakusaidie kuzima hiyo mishumaa iliotapakaa kwenye hilo keki lako la taifa, chonde chonde na mishumaa yako isije ikaunguza ofisi ya chadema inayofanana na kibanda cha kukatia tiketi za kuangalia michezo ya kihindi kwa babu kifimbooooooo....
- usisahau kwa mujibu wa takwimu uchwara, wale wote wanaosherehekea mara kwa mara siku zao za kuzaliwa ndio huishi muda mrefu zaidi hapa duniani......hivyo basi endelea kuenjoy siku hiyo tukufu ili usife mapema kabla ya kushuhudia daemusin akiwa raisi wa nchi ya PEMBA.
- kuna wajinga wanaifananisha siku ya kuzaliwa na magamba ya mafua (boogers), eti kadri yanapozidi kwenye pua ndio ugumu wa kupumua unapozidi...... ina maana kadri umri unapoongezeka uwezo wako wa kupumua, nguvu za kutembea zinazidi kupungua....... happy birthday harabujiiii (babu) mtarajiwaaa mungu akujaalie uwe na nguvu kuliko mzee mwinyi na miaka yake 93.
- sherehe yako ya kuzaliwa watajitokeza vishakunaku vya kike na midomo yao mirefu kama viatu vya beyonce huku wakiongozwa na maneno yao matamu yenye kuambatana na uongo ndani yake...... baby moudgulf kumbe bado wewe ni kijana sana eti hata nywele nyeupe za ulimi huna? ......waonaje usiku wa leo tukajivinjari disco lileeee linaloongozwa na DJ mboweeee wa zamani ..... ebwana weee hao vishakunuku wapotezeeee..... ukifanya masihara utarudi kwa mama watoto huku mfukoni ukiwa na gilasi ya alkasusiiiii pekee. (no money, no funguo wa kurudi nyumbani)...... njia pekee ya kujiokoa itakuwa ni kumtafuta mpemba akuandalie bakuli la urojow.
- nisikuchoshe bwanaaaa.... wengine wamekuletea keki, wengine watakuletea gari, wengine watakuletea maneno matamu kama magufuli na hotuba zake, wengine watakuletea daktari anayefanana na zainabu aje achunguze afya yako, lakini mjinga mimi nimeamua nikutumie hii picha niliyoitoa kwa MR gooogleee....... eti nimeota hawa kuku wataota mbawa muda si mrefu kutoka sasa..... tafadhali huyu kuku mmoja mtumie mdogo wako kutoka mbeya city.
View attachment 1369610
you will never walk alone
Sent using Jamii Forums mobile app