Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hotuba yako ndefu sana.
Hata hivyo nashukuru, ila kusherehelea siku ya kuzaliwa siyo kufuru ingawa baadhi yetu wanaihusisha siku hiyo na imani za dini.
Mimi siku hii ni muhimu sana kwangu hasa kutokana na mapito kadhaa niliyopitia.
Kwakweli namshukuru Mungu
ALHAMDULILLAH.
Natamani nifunguke hapa kuhusu changamoto nyingi nilizopitia, lakini nadhani hapa siyo mahali sahihi nasema tena na tena Alhamdulillah.
Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka dada kana tako hako aiseee

Wala mie shabiki tu tena mechi za wanaume pekee. , wanawake hazina ladha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
umenikumbusha zamani nilivyo kuwa napenda kucheza REDE na wadada... Kurusha mpira nilikuwa narenga usawa wa mapaja, mdada anaruka anatanua miguu, hapo ndani hajavaa kitu.... Sijui lengo langu ilikuwa nione nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…