andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Yaani nijitoe kimasomaso kuja Hadi huko halafu nidhamini Tena show[emoji134]Jumamosi itabidi udhamini hiyo show,
Bajeti yangu na marafiki zangu inaisha kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema kabisa.
Halafu wewe una kesi na Mimi.Mmmh, mbona unapenda sana picha weye?[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuambia uje huku Jumamosi ila sitokuwepoπββοΈπββοΈπββοΈYaani nijitoe kimasomaso kuja Hadi huko halafu nidhamini Tena show[emoji134]
Basi siji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipige kambi muda wote nimekuwa melo mie[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kuziona picha za wadau hapa, piga kambi hapa mwanzo mwisho.
Mi nina picha za wagonga likes wote wa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wanajaribu kukupachikia kesi[emoji1787]Mi sina kesi na mtu, kama kuna kuku inaenda kibra chinja tu bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipige kambi muda wote nimekuwa melo mie[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikipiga kambi muda wote nitakufa njaa.
Wao wanazingua..Kama wanataka tuone kwanini wanatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu Ni bahari
Moud hembu wape majibu hao.Naona watabiri wanaanza utabiri.
Ikibidi kinukishe ili kama mbwa na iwe mbwai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wewe una kesi na Mimi.
Ningekuwepo kwenye sherehe yako huko walahi nimgekuogesha na kukupiga vibao vya kutosha aili mradi tu nipunguze hasira na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aki ya Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro kitambo me nilishatoa baraka zangu kwahiyo tafadhali usiniangushe
Moud hembu wape majibu hao.
Naona wanabeti wanachana mkeka jamani[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Ni kwa sababu ya zile kelele zetu za liver.
ππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
umenikumbusha zamani nilivyo kuwa napenda kucheza REDE na wadada... Kurusha mpira nilikuwa narenga usawa wa mapaja, mdada anaruka anatanua miguu, hapo ndani hajavaa kitu.... Sijui lengo langu ilikuwa nione nini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ufunguke japo kidogo kwa ajili yangu na kwa faida ya wengi.Hotuba yako ndefu sana.
Hata hivyo nashukuru, ila kusherehelea siku ya kuzaliwa siyo kufuru ingawa baadhi yetu wanaihusisha siku hiyo na imani za dini.
Mimi siku hii ni muhimu sana kwangu hasa kutokana na mapito kadhaa niliyopitia.
Kwakweli namshukuru Mungu
ALHAMDULILLAH.
Natamani nifunguke hapa kuhusu changamoto nyingi nilizopitia, lakini nadhani hapa siyo mahali sahihi nasema tena na tena Alhamdulillah.
Asante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ eti mvurugajiEti *mwaya*
Mvurugaji mkubwa wewe πππ
Wee acha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui yu wapi Side mstorowei... Baharia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli hata Mimi natosheka tu kuwashabikia akina Alexander Trent.Ka dada kana tako hako aiseee
Wala mie shabiki tu tena mechi za wanaume pekee. , wanawake hazina ladha
Wee acha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui yu wapi Side mstorowei... Baharia...
Sent using Jamii Forums mobile app