Jamani mtuache namba moja.
Mbona mnatunyanyasa jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna Haki ya kuuliza ...msitunyanyase kisa pasi zetu bhna.
Wale namba moja wenzangu nawaambia(kwa sauti ya mtukufu Rais) tembeeni vifua mberee..
Msituvuruge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waulizeni maswali Hadi wakome[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app