Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Safi mpendwa ππNakusalimu mpendwa wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona kinumbu chezea chandimu weweHahah! nina matumizi yangu ya miguu ambayo hayahitaji kucha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweke ya sura uone na ka mzuzuDavet ananihujumu.
Na Mimi leo silali Hadi nimeona picha yake
Naomba nirushie picha aliyoweka leo tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona kinumbu chezea chandimu wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha ya rede mwisho wa mchezo mpigane ile puta wewe au vuka mstari nimemisi πππ
Leo hajaweka picha.Naomba nirushie picha aliyoweka leo tafadhali
ππππHii ni kwa sisi Wahenga tunaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anne anabembeleza picha ipi aliyofuta mpendwaLeo hajaweka picha.
Ya jana ya kuoshwa miguuAnne anabembeleza picha ipi aliyofuta mpendwa
Raha ya rede mwisho wa mchezo mpigane ile puta wewe au vuka mstari nimemisi [emoji3][emoji3][emoji3]
Wala sio mgomvi ila sipendi kuonewa enzi hizo ukinichokoza lazima nipute mchangaπππYaonyesha ulikuwa mgomvi sana zama hizoo
Ameweka LeoAnne anabembeleza picha ipi aliyofuta mpendwa
Numbisa anakataa eti hajawekaππAmeweka Leo
πππππ uchambuzi wako π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeona kinumbu chezea chandimu wewe
Numbisa anakudanganyaNumbisa anakataa eti hajawekaππ
Hivi unajua kama bado nasubiri picha yako?πππππ uchambuzi wako π
Hivi unajua kama bado nasubiri picha yako?
Sasa kama hamtaki nione Mimi nifanyaje?ππ mpaka leo unaombaga
Wewe zikiwekwaga unakuwaga wapiSasa kama hamtaki nione Mimi nifanyaje?
π
Nimeona nikomae kuomba