Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1582773212169.png
 
Huyu binti wa watu akiamka sijui atakuja kusema nini hapa? πŸ˜‚
Inawezekana anapita kimya kimya hapa.Amefungwa 3-1 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nililala uwiiiii mambo magumu
 
Kiungo huyo mchezeshaji amepewa baraka zote za klabu yake Aston Villa kuhama mwisho wa msimu baada ya kung’ara katika msimu wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu England. Grealish amekuwa kwenye kiwango bora licha ya timu yake ya Aston Villa ipo kwenye wakati mgumu wa kupambana kujinusuru isishuke daraja.
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizonaswa kutoka jijini Manchester, miamba hiyo ya Old Trafford inataka kusaini mkataba wa awali mapema kabla ya kufikia kipindi rasmi cha kufanya usajili. Mpango wa Man United ni kukamilisha dili hilo kabla ya Februari hii kumalizika.
 
Back
Top Bottom