Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Inawezekana anapita kimya kimya hapa.Amefungwa 3-1 πππππππHuyu binti wa watu akiamka sijui atakuja kusema nini hapa? π
Lile deni la Stella umelipa tayari lkn?Huyu binti wa watu akiamka sijui atakuja kusema nini hapa? π
Umeona takwimu zake anaongoza kwa kucheza rafu tu π π
ππππ atakua na siku mbaya sana adi namuhurumia jamaniInawezekana anapita kimya kimya hapa.Amefungwa 3-1 πππππππ
Hahah! Lile tayari ilibidi nilipe ili niwe na amani maana lilikua ni deni kubwaLile deni la Stella umelipa tayari lkn?
hahahahahah, haya bro.Hahah! Lile tayari ilibidi nilipe ili niwe na amani maana lilikua ni deni kubwa
Umeona takwimu zake anaongoza kwa kucheza rafu tu π π
Ngoja tuone atakujaje.ππππ atakua na siku mbaya sana adi namuhurumia jamani
Pamoja sana kaka....hahahahahah, haya bro.
Usiku mwema aisee.
Itabidi tumkodi Anne kwaajili ya kumkumbusha matokeo mara kwa maraNgoja tuone atakujaje.
Hataongelea mechi, atakuja na faida za kula mboga za majani ππππ
Huyu binti wa watu akiamka sijui atakuja kusema nini hapa? π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nililala uwiiiii mambo magumuInawezekana anapita kimya kimya hapa.Amefungwa 3-1 πππππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeeNgoja tuone atakujaje.
Hataongelea mechi, atakuja na faida za kula mboga za majani ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nililala uwiiiii mambo magumu
Huo ndo mpira hizo timu zina msimu mbaya hivi karibuni tu google uone takwimu zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kila timu unayoshabikia ina gundu
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nililala uwiiiii mambo magumu