carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mijibaba ya humu ni hatarCarpa, unaona mijibaba midowezi? Ina maneno matamu balaa. Kama bebi wako siyo ngangari unakuta tayari keshaanza kulegea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu una midomo mizuriiiAsante..ila sifa hizi hazitakuacha salama.....lol!!
Hahah...umeenda na Kichwa Kichafu!?Kidogo nimepata zana za kilimo na kuangalia wanyama sasa hivi tayari nipo Ikwiriri.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app