Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Changamoto ya kazi ya ualimu barani Afrika
FB_IMG_1582799232627.jpeg
 
huwezi kuwa mwanamuziki wa miondoko ya reggae mpaka ufuge rasta?

Davet nakusalimia
mbona wanikwepa mjinga weweeee.
haya nijibu hilo swali tafadhali
Hahah! Sijaona uliponisalimia Mkorea ila nipo poa.....

Muziki wa Reggae ulianzia huko Jamaica 1960s, nakama unavyojua watu wa huko asili yao ni hayo marasta ndio mana unaona watu wengi wanafanya huo mziki wanakua na Rasta.....

Unaweza kuimba reggae bila kuwa na rasta ila hutaendana na ile asili ya muziki wenyewe
 
Back
Top Bottom