Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
limeingiwa na nzige?Sembe
Hahahahaha daahlimeingiwa na nzige?
itakuwa ni habari njema sana kiupande wangu
chakula cha mafisadi wa uchumi wa nchi....Ugali
sharti langu kwake huyo binti apunguze uzito....
sharti langu kwake huyo binti apunguze uzito....
hivi tyson huyu wa nyakati hizi ana uwezo wa kutoa billioni 20?
Napoliiiiiii
huwezi kuwa mwanamuziki wa miondoko ya reggae mpaka ufuge rasta?
Davet nakusalimia
mbona wanikwepa mjinga weweeee.
haya nijibu hilo swali tafadhali
Hahahahhaahachakula cha mafisadi wa uchumi wa nchi....
nchi nyingi ambazo raia wake wamekulia kwa msosi wa sembe, ugali, dona zinakuwa na kiwango kikubwa sana cha ufisadi.
- tanzania
- kenya
- uganda
- congo
- nigeria
- cameroon
- burundi
- mama weeeee mbona waafrika watupu
Yaani sijui kabisa,huku nilipo net dhaifu kijana mpoleKama haujui kilichokupata Jana
Hahah! Sijaona uliponisalimia Mkorea ila nipo poa.....huwezi kuwa mwanamuziki wa miondoko ya reggae mpaka ufuge rasta?
Davet nakusalimia
mbona wanikwepa mjinga weweeee.
haya nijibu hilo swali tafadhali
copy and paste from twitterrrrii
BRAIN TEST
Which of the following has four, eight and one nine? Answer wisely
A. 88889
B. 4819
C. 888819
D.489
It's not maths; it's English.