Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Akizungumza na kituo cha redio cha Talk Sport jana Jumatano, mwanamuziki huyo alisema alikuwa katika baa hoteli aliyofikia kama ilivyokuwa kwa wachezaji wa Bayern.
Hivi huyu member wenzangu huwa mnamuelewa anachoandika?Bro Davet, kumbuka hiyoView attachment 1371458
Huwa namuelewa vizuri tu hata yule pdiddy au basiansi
Anaeleweka kwa tabu mno adi ujilazimishe sana kumuelewa
Huwa namuelewa vizuri tu hata yule pdiddy au basiansi
Haha kumbe tupo wengiAnaeleweka kwa tabu mno adi ujilazimishe sana kumuelewa
Hata sijui kwanini pale watu wanalalamikia miandiko yao mie sioni makosa makubwa. Wapo wanamlalamikia sky pia ila mie naonaga typing error tu