Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Yule nae mama wa michapio japo anaeleweka sio huyo hapoHata sijui kwanini pale watu wanalalamikia miandiko yao mie sioni makosa makubwa. Wapo wanamlalamikia sky pia ila mie naonaga typing error tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wakiona hapa watatetemeka kwa woga 😀View attachment 1371537
Pole sana Uliefukuzwa uanachama. baada ya uchaguzi utarudishwa 😂 😂 😂
Hahah!Pole sana Uliefukuzwa uanachama. baada ya uchaguzi utarudishwa 😂 😂 😂