moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahah! Nakumbuka bro na hii ndio ile siku nilikua nasema uliufaidi huu Ubuyu
Ccm wanajua siasa na jinsi ya kudili na vyama vya upinzani na wa Tanzania kiujumla
Ameen mpendwa na tubarikiwe sote π€²Mpendwa Ubarikiwe nitumie chap chap kabla wapambe wajafika kwenye uzi
Hahah! Basi nitakua nashindwa kutambua maana isiyo rasi ya neno Ubuyu
Kuna watu wakiona hapa watatetemeka kwa woga [emoji3]View attachment 1371537
Wakulima wote poleni sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moud bana una ukweli mchunguItakuwa lini hiyo bro,
Sidhani kama kuna mtu ataogopa hiyo, maana timu zote mbili zinaumwa[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mliotoka kazini poleni sana...
π π π
Poleni mlio kwenye daladala..
Poleni wa bajaji na bodaboda,,,
π π
ππ
Itakua jumapili hiyo bro ....Itakuwa lini hiyo bro,
Sidhani kama kuna mtu ataogopa hiyo, maana timu zote mbili zinaumwa[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app