Naona kijana unazidi kuteka nyoyo za wadada[emoji23][emoji23]
Stella kashafika bei
😀😀
Naona kijana unazidi kuteka nyoyo za wadada[emoji23][emoji23]
Stella kashafika bei
City
Beki hazikabi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee!
Kwamba beki hazikabi
Haikuwahi kuwa hivyo mzee yani kifupi nina historia fulani na hii timu mpaka mtu nimuelezee sana ndio anielewe, nimeanza kuishabikia muda sana na watu wengi walikua wanashangaa kwanini naishabikia lakini mpaka siku hizi imekua timu kubwa na tishioKuna sehemu umepatosa
Muombe DavetNasubiri huo mguu uliokukosesha usingizi jana[emoji41]
Hahah! Stella adi ataota.....Beki hazikabi kabisa.
Stella yuko hoi akiona six pack sijui hali yake itakuwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie najua wewe unayo,nipe nione basi
Ewaaaah!
😂😂😂😂Mie najua wewe unayo,nipe nione basi
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe nilipitwa na mengi jana.Hahah! Stella adi ataota.....
Jana alitaka kuniacha mtupu hapa mana ukimbariki na hichi anaomba na kile nikaota tutafika mbali bora nikimbie
Naomba nione sixpack[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Ewaaaah!
Haikuwahi kuwa hivyo mzee yani kifupi nina historia fulani na hii timu mpaka mtu nimuelezee sana ndio anielewe, nimeanza kuishabikia muda sana na watu wengi walikua wanashangaa kwanini naishabikia lakini mpaka siku hizi imekua timu kubwa na tishio
Hahah![emoji23][emoji23][emoji23]kumbe nilipitwa na mengi jana.
#stellakakuelewasana
Kwa jinsi alivyokusifia jana naona picha yako kaisafisha kaiweka ukutani[emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja jiraniSawa mwananchi
[emoji23][emoji23]Hahah!
#Moudakionahapashauriyako
Hizo hazikuhusika bwana..... hahah!Naomba nione sixpack[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
😅😅😅😅😅 anasema hawezi kukaa na jambo Moyoni ni bora aseme ukweliKwa jinsi alivyokusifia jana naona picha yako kaisafisha kaiweka ukutani[emoji23][emoji23][emoji119]