carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23]
Niliona bhana bro kawaka kimtindo
[emoji23][emoji23]
Niliona bhana bro kawaka kimtindo
Tena ili apumue vizuri avue shati,apige picha atume humuMuache KD apumue jamani khaa!![emoji849][emoji849]
@Numbisa njoo usome vichekesho vya asubuhi
Fanya kupandisha hii picha juu kidogo nataka nione kitenge[emoji23][emoji23]Leo nakuja town huko kumfanyia sherehe ya bday
Gharama juu yangu
Huu mguu wake
Saa12 asubuhi na mapema nimetokaView attachment 1372169
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwezi ona naibiwa hivihivi nikae kimya[emoji23]
Kaka anabembelezwa picha anavunga[emoji23][emoji23]
#sijuihaelewisomo
Happy weekend fam[emoji173][emoji173]View attachment 1371994
Heheh! Anajiamini sana ila mimi sina Sumu awe na amani tu.....
#ItakuayeyeanatakakumtumiaPM