myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salam kwenu wote..
Ila alikuja Anko akamteka mtoto na lugha zao za asili wacha bro Moud afoke kwamba mbona hawaelewi elewi waache usanii wao
Heh jamani kuna miguu imenipita humu!
Wekeni round ya pili tuone
[emoji23][emoji23]
Niliona bhana bro kawaka kimtindo
Leo nakuja town huko kumfanyia sherehe ya bday
Gharama juu yangu
Huu mguu wake
Saa12 asubuhi na mapema nimetokaView attachment 1372169
Sent using Jamii Forums mobile app