Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200229_190344.jpg
 
KAMA ULIKUWA HUJUI.......
Mawigi yalianzishwa katika nchi ya misri.Wamisri walikuwa wananyoa nywele zao kutokana na joto kali sana lililotokana na jua kali hasa ukizingatia wapo kwenye jangwa.Walikua wakinyoa nywele zao na kuzitunza katika mfumo wa mawigi kama tunavyoona sasa hivi.
 
Back
Top Bottom