myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee!CHAKUSHANGAZA
Kisimi (clitoris) kina mishipa ya fahamu 8000, mara mbili zaidi ya uume wenye mishipa 4000.
Lakini kazi ya kisimi ni moja tu. Kumletea raha mwanamke.
Hahah!...[emoji23][emoji23][emoji23]dah bro, ni wewe kweli
Mambo niaje lakini mzee mwenzangu?
Mzee mwenzangu, nilijua hii post huwez ipita hivi hivi [emoji2][emoji2]Aisee!
Kwema kaka, mambo tu ya hapa na pale yanakuwa mengi, ila uzima upoHahah!...
Niko poa sana mzee, vipi za kupotea?
Wewe aliyekuambia uone picha ndiye mchawi wako π π π
Hahah! Kuipita hiyo post inahitaji ujasiri wa hali ya juu mzee mwenzanguMzee mwenzangu, nilijua hii post huwez ipita hivi hivi [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Assist moja nilimpigia akashindwa kutia kambani eti kesho yake namuona anaita mtu Sister