carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
hahahahahahah, haya bana!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwepo sema sikuwepo hapa uzini...
#turudietusirudie
hahahahahahah, haya bana!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwepo sema sikuwepo hapa uzini...
Unaishiwa chaji sio?Tanesco kesho mtalipa mb zangu vyura ninyi[emoji57][emoji57]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti anaitikia kinyonge ili aonewe hurumahahahahahahah, haya bana!!
Rudieni[emoji23][emoji23][emoji23]
#turudietusirudie
Acha hizo bro.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti anaitikia kinyonge ili aonewe huruma
Watoto msiotulia nyumbani bhana.....Nilikuwepo sema sikuwepo hapa uzini...
Nilikuwa na download movie hapa chaji imeisha na mb zimebaki kibaoUnaishiwa chaji sio?
Usiondoke subiri kidogoUsiku mwema kwenu
Acha kumcheka dada 😀😀
Hahah aya nipoUsiondoke subiri kidogo
Pole sanaNilikuwa na download movie hapa chaji imeisha na mb zimebaki kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto msiotulia nyumbani bhana.....
Asiekuepo na lake halipo
Amna sijamcheka yeye me nakucheka wewe mzururajiAcha kumcheka dada 😀😀
hahahahah, haya bana.Amna sijamcheka yeye me nakucheka wewe mzururaji
Pole sana
Umemuona sasa jinsi anajitoa mwenyewe kwenye soko la ushindani?Dada tena?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee vipi tena?
Hujaniona nikipanda?NimeionaKama umechelewa uber imekuacha basi tena
[emoji23][emoji23][emoji23]Umemuona sasa jinsi anajitoa mwenyewe kwenye soko la ushindani?