Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tangu lini umeanza utani na Mimi[emoji24][emoji24][emoji24]
Naomba picha..nitakufata pm mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh.. jamani embu muonyesheni Mtoto mapicha .. kwani mnakwama wapi????
Mpaka anatoa chozi😁..

Stela ngoja nikutumie picha za kaka zangu tu wamemzidi hadi crush wako footballer yule...
 
Jirani mi nipo, ingawa ndani ya masaa kama 48 nilipotea kutokana na pilika za hapa na pale.
Njoo kisutu utanikuta hapa mtaa wa chagga kwenye kijiwe cha chai
Jirani yangu moudgulf, tukutane basi hapa Mtaa wa Libya na Morogoro tupate juice ya miwa yakhe! Umeadimika kama mizizi ya jiwe jirani. [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…