Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Mzee, inaelekea ushalipwa hela ya Mafao eeh! Ngoja kuna watu wataanza kukuita babe sasa hivi waitafune yote hiyo. Mtaji wa Maparachichi wote kwishiney... 😀😀😀 Salamaleko hapo ndugu yangu, vipi kheri?
Hahahahhaa anko bana
😀😀😀😀😀😀😀Mpendwa Hawachi saa nne imepita mbona umenichomesha Mahindi?
View attachment 1373363kama lavente kwa barca iliumaaaa 5555555
Huyu Mtoto Ni juzi tu nimemsifia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikwama njiani[emoji125][emoji125][emoji125]Na jana ulikuwa na mechi ya ugenini,utupe mrejesho maana mzee wa pwani kapotea mazima humu
Sent using Jamii Forums mobile app
ningendako haiwezekani kabisa.Ewaaa
Kazi ndogo tu, fanya kuhamia Man Uningendako haiwezekani kabisa.
Mimi sikubali
Nasema sikubaliiii[emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninge naomba picha hapa kabla sijazama pmtKazi ndogo tu, fanya kuhamia Man U
Unanicheka mpendwa😀😀😀😀😀😀😀