Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ningekuwa nakunywa pombe leo ningekata hata mizinga miwili ya Konyagi. Mlikuwa mmezidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sasa hivi watu watakuwa wanajipigia tu..

Heshima yako bro, hope haujambo wewe na uwapendao hapo..

Mungu ni mwema bro,mimi sijambo na tunaendelea vyema kabsa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na sasa hivi watu watakuwa wanajipigia tu..

Heshima yako bro, hope haujambo wewe na uwapendao hapo..

Mungu ni mwema bro,mimi sijambo na tunaendelea vyema kabsa.
Wameshabikiriwa tayari hao tena kibabe. Sasa majamaa itakuwa ni kutelezesheamo tu shwaaaa...[emoji16][emoji16][emoji16]

Huku powa kabisa. Heshima, upendo, furaha na amani kwako pia na wapendwa wako bro. Tumshukuru Mungu daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Eti kutelezeshamo tu[emoji16][emoji16][emoji16]

Asante sana bro, tubarikiwe sote!![emoji120][emoji120]
 
Membe is oooooouuuuuuut!..

Makamba is iiiiiiiiiiiin!

Ngoma inogileeee

Yajayo yanafurahisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa hao. Wanajua wanachokifanya. Usikute ikawa ni mtego kwa wapinzani....

Kuna mchwa wamesha-undergo mutations oil chafu haiwapigishi hata chafya tena [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…