Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200301_160136.jpg
 
Wewe Mzee, inaelekea ushalipwa hela ya Mafao eeh! Ngoja kuna watu wataanza kukuita babe sasa hivi waitafune yote hiyo. Mtaji wa Maparachichi wote kwishiney... [emoji3][emoji3][emoji3] Salamaleko hapo ndugu yangu, vipi kheri?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mafao nilishapata hata kabla ya ho chi minh hajapata,sema tu maparachichi yananilinda kiaina.
Huku KHERI ndugu yangu sijui huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom