Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wa Dar bwana....
Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia
karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta😊😊....
Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza
umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe,
utaskia nipo Kibaha kuna issue
nashughulikia ntakuchek kesho😁😁.... Kesho
ndo hutaiona simu yake ng'oo😔😔... Ukimpigia
simu kumwambia kesho naondoka, utaskia
mbona fasta kaka, daah sema umekuja
bahati mbaya sa hv npo taiti kiaina ila ukija
tena tutamit tu😁😁...
woote sound zao hzo hzo, utadhani
mwalimu wao mmoja😏😏
Afu wao wakija huku wanapopaita mikoani,
anataka uwe nyuma yake 24/7, utadhani
mnatafuta wadhamini?😩😩... Stori zake sasa..
Hivi huku mikoani mnaishije..? hakuna
mzunguko wa hela kabisa😟😟..
Hiyo mizunguko ya hela huko Dar ingekuepo
si wote mngekua Bakhressa😂😂...
asee... acheni hizi
tabia, mnatukera sana sisi wakuja😡😡.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] volume ipo sawa kabsa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…