Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aelyssa Daraggi & Alpha Blondy wakiwa na wageni waalikwa kwenye ndoa yao
FB_IMG_1583089573840.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mafao nilishapata hata kabla ya ho chi minh hajapata,sema tu maparachichi yananilinda kiaina.
Huku KHERI ndugu yangu sijui huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku safi ndugu yangu. Hapa Nansio watu wakifikia hatua ya kupata mafao yao wana kamsemo kao, wanasema; wana "Downsize". Kama alikuwa na jumba kubwa, gari kama V8 anaachana navyo. Sisi Unaongezea nyumba ndogo, vipi tayari hapo? 😀😀
 
Back
Top Bottom