Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200228-004917_Facebook.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha, umekatiza likizo yako ili uje ufarahie ushindi wa Watford?
Wee jamaa hufai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa makelele yako na Stella aisee nisingeweza kuvumilia. Nimejaribu kukaa kimya tangu jana namuona Stella yuko safarini akija kwako kula keki nimeshindwa.

By the way Happy Belated birthday...

Hangamaga !!!
 
Back
Top Bottom